KUHUSU SISI


CHAWAKAMAMA ,ni chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu Afrika Mashariki,kilianzishwa 2004 ,kutokana na mawazo ya CHAKAMA ambacho ni chama cha wahadhiri Afrika Mashariki,katka mkutano uliofanyika mjini Arusha,  
Malengo ya Chawakama; 
  • Kukuza na kueneza Lugha ya kiswahili miongoni mwa Nchi za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.
  • Kuibua vipaji mbalimbali vya wanachama katika Lugha ya Kiswahili.
  • Kuandaa makongamano na mikutano ya Chama.
  • Kuchapisha Majarida ya Chama.
  • Kushirikiana na Asasi nyingine katika kukuza na kueneza Lugha ya kiswahili ,kama vile BAKITA,UKUTA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni